Blogger Widgets

October 18, 2013

Ulikuwa Unajua Kama Hii ndio Alama ya Vidole ya Diamond Platnum Ikimaanisha Kampuni Yake ya WasafiKuna baadhi ya maneno,vitendo majina ama taasis,vinakuwa na ishara zake zinazotoa maana ya neno ama kitu husika,mfano.Ukionyesha ishara ya vidole viwili

unamaanisha amani.Diamond nae amekuja na ishara yake ya vidole inayotambulisha  kampuni yake ya WASAFI ama WCB.
kuna picha anaonekana anaonyesha  ishara ya vidole vitatu,vikisimama badala ya W(WCB)..
Diamond
na mmoja wa member  wa WCB anaefahamika kama Kifesi,wakionyesha ishara ya vidole vitatu,W(wcb)