Blogger Widgets

October 31, 2013

Umeona Tattoo Mpya Ya Rihanna Kwenye Mkono Wake, Picha Ziko Hapa

Kama Kwawaida yake Baby mama Rihanna anapenda kuwapa mashabiki zake kitu kipya kila anapo pata nafasi. Hii tattoo yake mpya imechukua muda kukamilika na ndio iliyompa maumivi zaidi wakati inachorwa. Picha Ziko Hapa