Blogger Widgets

November 10, 2013

AMANI ITAWALE:Check Jinsi Urafiki wa Madee na Ney wa Mitego Unavyozidi Kushika Kasi

 
 Ilisemekana Kama mwaka moja uliopita wasanii Ney Wa Mitego Na Madee walikuwa na beef kubwa na lilichochewa na mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. Tatizo kati yao lilikuwa ubabe wa nani anaibeba manzese na ndio Rais wa Manzese huku Madee akijiita rais na Ney akisema hakuna Rais Manzese.Siku zilivyo zidi kwenda walionekana kwenye show tofauti wakiwa pamoja na kupiga show kwenye jukwa moja bila tatizo. Interviews kwenye radio kuhusu ugomvi wao zilipungua na picha zao wakiwa pamoja zika samba, Kwa sasa hawa jamaa ni mabeste kinoma. #Good