Blogger Widgets

November 4, 2013

BIFF: Hudda aingia katika biff jingine na mtanzania aishie Marekani, Kisa Prezzo.Tazama Kinachoendelea


Mambo yamegukua kuwa sio mambo kupitia mtandao wa instagram, ambapo  mwandada mtanzania anaeishi Marekani  "Chaggabarbie" amekuwa akiporomosha madongo kwa aliekuwa mshiriki wa BBA 2013 Hudda kutoka Kenya kwa kile kinachoonyesha kumgombania Rapper Prezzo kutoka Kenya.
Hii imekuwa sio mara ya kwanza kwa Huddah kuwa katika ugomvi wa namna hiyo.
kama utakuwa unakumbuka sakata lake na mwanadadiva Lovenesslove, kila mmoja akidai Prezzo ni wake.
Haiko tofauti na story hii sema character mmoja ndio amebadilika.
Mwanadadiva huyo alianza kwa kupost picha zake zinazomtaka huddah kukopy kile anachokifabya yeye, lol.
Copy My Bling Too I only Wear 24KGold!!!!! Copy My Style Too....Cover Urself!!!!!Upande wa pili pia haukukaa kimya, Huddah nae akatupia lake

Baada ya wanachama kugundua kilichokuwa kikiendelea katika akaunti hizi mbili, kila mtu alikuwa akitoa komenti kutokana na ukaribu na mmoja wao na baada ya kila mmoja kupata comment zake, Chaggabarbie akutuma ujumbe huu


Baada a kuona hivyo Huddah nae hakukaa kimya