Blogger Widgets

November 11, 2013

BREAKING NEWS :Tazama Jinsi Professa Jay Alivyopata Ajari Kimara-Baruti, jijini Dar.NYANG'ANYANG'A


clip_image001_thumb[1]Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwanamuziki wa Hip hop, Joseph Haule 'Profesa Jay' amepata ajali ya gari baada ya kuparamia kifusi akijaribu kumkwepa mtu eneo la Kimara-Baruti, jijini Dar wakati akitoka nyumbani kwake Mbezi! Prof hajaumia sana katika ajali hiyo japo gari lake limeharibika.
clip_image002