Blogger Widgets

November 14, 2013

Hii Hapa Picha Ikionesha Jinsi Snura na Mrisho Ngasa walivyo kwenye Penzi ZitoMrisho Ngasa vs Snura wakiwa kwenye picha mahaba, ambapo picha hizoi zimedaiwa kuzusha balaa kwa mke wa Ngasa kiasi cha kusababisha mtafaruku mkubwa kwenye familia hiyo.

Hapa Mrisho Ngasa akitaka kumla mate Snura
Mshambuliaji wa timu ya soko ya taifa,Taifa Stars na Mchezaji wa Yanga  Mrisho Ngasa amenaswa live akiwa na muimbaji wa majanga “Snura Anton Mushi”. Bado haijajulikana wazi kama mastaa hao wawili wanauhusiano wa kimapenzi au labda wanaigiza movie?


Mastaa hao wawili walinaswa live wakiwa kwenye nyumba ya Snura Anton Mushi iliyopo Mwananyamala jijini Dar es Salaam