Blogger Widgets

November 22, 2013

Huu Ujumbe wa Afande Sele na Mh.Reginald Mengi Nimeupenda Kuhusu Kumdiss waziri wa Nishati

Mikoa mbalimbali ya Tanzania sasa hivi ipo kwenye mgao wa umeme wa siku kumi uliotangazwa na Tanesco siku kadhaa zilizopita ambapo maeneo mengine wamelalamika umeme kukatika kwa zaidi ya saa 15.

2 1