Blogger Widgets

November 2, 2013

Maajabu:Picha za Mwanafunzi wa Kike wa Udom Zasambaa Mtandaoni Baada ya Kuondoka Chuo na Kwenda Zanzibar kufanya Ufuska na Jamaa Yake Huyu

 
MDADA MWENYEWE NI HUYU. DENT mmoja katika Chuo Kikuu kimojawapo hapa nchini amepiga picha zisizo na maadili akiwa na njemba wake katika visiwa vya Zanzibar. Mwanafunzi huyo alionekana kutumia muda wa masomo kufanya mambo yake hayo, na kilichowashangaza wengi kile kitendo cha yeye kutoka DODOMA mpaka ZANZIBAR ili kutimiza haja zake katika kipindi ambacho wenzake walikuwa katika masomo..
DADA HUYO NA NJEMBA WAKE WAKIENDELEA KULA RAHA…..


 
From:Uhuruforum 

No comments:

Post a Comment