Blogger Widgets

November 21, 2013

Maajabu:Sister Agalagala Chini wakati Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulharaman Kinana akiwahutubia wakazi wa Kijiji cha Kisangu wilayani Songea

Sista Maria Lumbangura wa Mtakatifu Benedict akigalagala chini akiwa na mwanamke mwenzake wakati Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulharaman Kinana akiwahutubia wakazi wa Kijiji cha Kisangu wilayani Songgea katika mkutano wa hadhara uliofanyika LEO