Blogger Widgets

November 10, 2013

Mcheck Shilole na T-shirt za Madee "TEMA MATE TUWACHAPE"

Vijana wawili kutoka Manzese ndio wanahusika na hii kazi ya kutengeneza na kuuza T Shirt zenye Logo ya Tema Mate Tuwachape ambazo mpaka sasa wameuza T Shirt Mia Nane. Fahamu kuwa kila pesa wanayotengeneza ni ya kwao na Madee hachukui kitu.

Ni bonge la shavu kutoka kwa Madee kwa vijana wake ambao sasa wana maisha bora baada ya mchongo huu kuwatoa kifedha.