Blogger Widgets

November 4, 2013

Msanii Aliyepamba Jukwaa la Fiesta Inyanya Awashangaza Watu Baada ya Kuandaaa Keki Hii kwa Ajiri ya BirthdayMiongoni mwa wasanii kutoka nje waliopamba Tamasha la Fiest kwa pande za Dar es salaam ni msanii Iyanya Mbuk, juz ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa na katika kuonesha ni jinsi gani jamaa anapenda na kuhusudu "mambo" flani basi keki yake ilikuwa ni ujumbe tosha.