Blogger Widgets

November 11, 2013

Mtazama Muigizaji wa Kinaigeria Cossy Aliye Yakatia Bima Maz!wa yake kwa Tsh Bilioni 1.9 za Kitanzania.


Ripoti zinasema kwamba yule muigizaji mwenye Kifua kikubwa kutokana na shehena ya "Chakula cha Mtoto" alichokibeba kifuani kwake, Cossy Orjiakor ameamua kuweka dhamana ya kitega uchumi chake na kukikatia Bima yenye Thamani ya Zaidi ya Tsh Biolion 1.9 za Kitanzania.

Alitambulishwa kwa kampuni ya Enhanced Silicon Inc na Rafiki yake wa Kimarekani ambaye amemueleza kwamba ipo kampuni inayoshughulikia dhamana za Mat!ti ya watu maarufu na miongoni mwa waliochukua chukua dhamana ni Dolly Patron na Pamela Anderson.