Blogger Widgets

November 19, 2013

Mtazame Hapa Kocha Mpya wa Simba Baada ya kuwatimua makocha wake, Abdallah Kibadeni na msaidizi wake, Jamhuri Kiwhelo ‘Julio’,


 
Zdravko Logarusic raia wa Croatia.
Baada ya kuwatimua makocha wake, Abdallah Kibadeni na msaidizi wake, Jamhuri Kiwhelo ‘Julio’, Simba sasa imemchukua kocha Zdravko Logarusic raia wa Croatia.
Tayari Simba imemaliza mazungumza na kocha huyo na anatarajia kutua nchini hivi karibuni kwa ajili ya kusaini mkataba na mara moja kuanza kazi.Kabla ya hapo, Logarusic alikuwa kocha wa Gor Mahia ya Kenya aliyoifundisha kwa misimu miwili akisha nafasi ya pili.Msimu huu ulikuwa wa mwisho, lakini aliondoka katikati na nafasi yake kuchukuliwa na Bobby Williamson ambaye kuna gazeti liliandika anajiunga na Simba, kitu ambacho hakikuwa sahihi.Baadaye Bobby alikanusha kuwa amefanya mazungumzo na Simba na ataendelea kubaki Kenya

No comments:

Post a Comment