Blogger Widgets

November 19, 2013

Muonekano wa Msanii D Banji Baada ya Show Kubwa Ya Cocacola Akiwa Amechill na Watoto wazuri
The coko Master mwenyewe, Dbanj alivyofunika katika tamasha kubwa la cocacola 2013 lililofanyika jana.


Dbanji akiwa na Shabiki mwenye tabasamu la nguvu kuonyesha furaha ya kuonana nae uso kwa uso..

HAPA amewekwa kati na warembo...! Kweli kipaji raha sana.