Blogger Widgets

November 18, 2013

Picha: Diamond Platnumz aungana na mastaa wengine wa Afrika katika harusi ya Peter wa P-Square jana na Diamond Kucheza Gololo Mbele ya Kdamnasi

Zikiwa zimesalia takribani siku nne kabla ya mastaa mapacha wa Nigeria Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square watue jijini Dar es salaam na kuuwasha moto pale Leaders club Jumamosi hii, mmoja wa mapacha hao Peter jana alifunga ndoa ya kimila na mpenzi wake wa muda mrefu na baby mama wake Lola Omatayo aka Mrs Peter Okoye huko Nigeria.
Platnumz katika harusi ya Peter-4
Diamond akiwa na bwana harusi Peter Okoye

Ilikuwa ni sherehe iliyohudhuriwa na watu mbalimbali maarufu wa Nigeria na Afrika.
Platnumz katika harusi ya Peter-2
“At @peterpsquare ‘s Wedding, with Kukere Master…… @iyanya #WCB #Wasafi for Life Darling…!”

Star wa bongo Diamond Platnumz ambaye yuko Nigeria ni miongoni mwa mastaa waliohudhuria sherehe hiyo iliyofanyika usiku wa jana. Diamond ameshare baadhi ya picha za sherehe hiyo katika akaunti yake ya Instagram.
Platnumz katika harusi ya Peter-3
Platnumz akiwa na Emmanuel Adebayor wa Togo “At four point hotel with my Brother @sea25 #Lagos #Nigeria”

Platnumz katika harusi ya Peter-1
Diamond on Peters wedding

“I Had to show them how we do……… Last nyt out with ma Brother Emmanuel Adebayo @sea25 and Kukere Master @iyanya #Lagos #Nigeria”

Mastaa wengine waliohudhuria sherehe hiyo ni pamoja na Iyanya, M.I, Banky W, Emmanuel Adebayor, Lynxx na wengine.
Tazama picha
ukumbi ilipofanyikia harusi ya Peter

Ukumbi ilipofanyikia sherehe hiyo

peter-lola-wedding-597x600
Peter na mkewe Lola

Peter wedding
peter-lola-wedding-3-600x595
Banky W na Peter
Banky W na Peter Okoye

Peter-lola-wedding-cake
Keki ya harusi

peter-p-square-emmanuel-adebayor-600x580
Peter ‘P-Square’ Okoye na mchezaji wa Togo Emmanuel Adebayor


Lynxxx, Banky and Pater n wife
Lynxxx, Peter na mkewe Lola pamoja na Banky W
From:Bongo5