Blogger Widgets

November 8, 2013

Picha ya Video ya Mtoto Wa Kike Mmoja Baada ya Kujirecord Wakiwa na Justine Bieber wakiwa Wanapeana Raha za KitandaniTour ya Justin Bieber nchini Brazil imeendelea kuongeza mauzo ya magazeti nchini humo na sehemu nyingine duniani kwa matukio kadhaa yaliyoibuka.

Mrembo mmoja wa Brazil yeye ameitumia nafasi ya kuwa karibu na Justin Bieber ambae kumsogelea tu akiwa nje lazima upigwe vikumbo kadhaa na mlinzi mwenye ‘mwili jumba’, yeye ameweza kutumia simu yake ya mkononi ku-shoot video ya sekunde 15 ikimuonesha akiwa na Bieber chumbani (hotelini) ambapo msanii huyo anaonekana kalala ‘fofofo’.

Msichana huyo alimpiga mabusu kwa mkono wake na kumpulizia kuonesha mapenzi kwa msanii huyo. Baada kufanya yake msichana huyo aliiwaza fursa ya kuonekana dunia nzima hivyo akaiweka Youtube.

Video hiyo iliyowekwa November 6, tayari imeangaliwa zaidi ya mara million 4.