Blogger Widgets

November 3, 2013

Picha:Huy Ndio Mzee alipuliza Kile Kivaa saxaphone(mdomo wa bata) Kwenye Mwimbo wa Tupogo wa Ommy Dimpoz na Hapa Yupo na Diamond Platnumz wakijiandaa Utengenezaji na My Number One Remix


Anaitwa King Maru,mzee mkongwe katika tasnia ya mziki akihusika na upigaji wa saxaphone(mdomo wa bata)
keshafanya kazi nyingi na wasanii wengi ikiwemo wasanii wa bongo fleva..ila kubwa ni kuwa..saxaphone yake inasikika kwenye nyimbo ya number one ya Diamond na Tupogo ya Ommy Dimpoz and this time pia wamekutana Studio na Diamond wakati wa uandaaji wa remix ya number one aliyoshilikishwa,Davido.Huyu ndie King Maru