Blogger Widgets

November 10, 2013

Shabiki aliyetokea Ghafla Wakati Cyril Kamikaze Akiwa Anashoot na Kumkumbatia na Kumpa Mabusu ya KimaHaba



Kid Cyril anakuambia alikutana nae baada ya kumaliza shooting ya video aliyofanya siku nzuma na ghafla akatokea binti anayekubali kazi zake na kumba kumbato la nguvu na busu kwenye shavu,

Good Job Cyril. #Shabiki Wa Kweli #TeamKamy

No comments:

Post a Comment