Blogger Widgets

November 6, 2013

Soma Huddah Alichoongea Kwa Kumponda Prezzzo Kwamba Ni Mwanaume asiye na Hela Ndio Maana Anapenda Wanawake wenye Hela Kama Huyu Mwanamke Mpya Aliyempata


Baada ya Prezzo kupost picha akiwa na mpenzi wake mpya na kuandika Maneno haya kwenye Twitter "Funny how sme past dnt wanna be tense......welcome 2 my future " Huddah monroe Ameibuka na kumponda Prezzo akisema si chochote na hana hela kwani bado anaishi kwa mama yake na kutegemea hela za mama ake...na akiendelea atamwaibisha......

Hivi Ndivyo Huddah Alivyo andika.
By prezzo254
Funny how sme past dnt wanna be tense......welcome 2 my future@chaggabarbie #MySize