Blogger Widgets

November 18, 2013

Soma Maoni ya Wakenya Baada ya Taarifa Kusambaa Kwamba Wanamuziki wao wa Kenya "SAUTI SOUL" ni MashogaBaada ya tetesi kuzagaa kwamba  kundi la muziki nchini Kenya “SAUTI soul” ni Mashoga, wakenya wameonyesha Reaction zao kwenye Twitter na kuwakejeli wanamuziki hao..Habari zilizopostiwa na blog moja (Ghafla) nchini humo zimeonyesha hizi picha pamoja na Tweets za wakenya walivyopokea habari hiyo...zicheki hapa chini...

 
 
 

Na hizi ndo baadhi ya tweets walizoandika...
 

@Voice_Roy: Mwanaume ni kuosha nguo na sabuni ya kipande, mambo ya Homo achia Sauti Sol"

@EduThe1
Sauti soul be like bado mziki yetu ni genGAY

@TheMartinChege
Sauti sol gay rumours! miley cyrus naked at ema's! These are the #lastdays But me & my house I shall serve God!

@thembinicole
Yoooo *buttslides into TL* what have sauti sol done?

@jakuodho
bcoz elton john doesnt??? @amoskimvenus @ShaffieWeru @KalekyeMumo iyo story ya Sauti Sol inanishangaza tu sana coz they always sing for l\

@BhingyWilliez
they dnt work 4 money bt butts RT @mwinamu: but sauti sol wamekiss ass ndio wafike pahali wako,

@RamzZy_: Does it really matter if Sauti Sol are gay or not? i'm listening to the music, not the anus of the singer.

@masaku_: Sauti Sol wakiona unaanza kublack out http://t.co/o33Y2BKsSm