Blogger Widgets

November 19, 2013

Tattoo ya Irine Uwoya Ya Kiunoni aliyoionesha Leo Yazua Utata na Mjadala Mwingi.TAZAMA

uwoya2

Muigizaji wa kike ambaye ametajwa kuwa ndiyo maarufu sana nchini Congo kuliko msanii yoyote wa bongomovie na anajulikana zaidi kwa jina la Oprah zaidi ya jina lake la Irene Uwoya.

Headline mpya kutoka kwake ni kuhusu picha alizo-post zikionyesha tatoo yake nyingine ambayo haijawai kuonekana kwasababu aliwai kuweka wazi tatoo mbili tu, moja ni nyayo za mwanae Krish iliyopo mgongoni na nyingine ipo kifuani.

Hii hapa ndiyo mpya kwa mashabiki wake ambayo ameiweka wazi leo.

uwoya