Blogger Widgets

November 13, 2013

Tazama Jinsi SNURA alivyozua Majanga na Kusababisha Wauza Mitumba Kuacha Shughuli Zao


Ilikuwa kwenye show ya kichwaji cha GRAND MALT maeneo ya karumeshida ilianza pale mkali wa viuno mwanadada snura alivyopanda jukwaaani hali ilikuwa si shwali kabisa pale wauza mitumba waliaamua kupiga shangwe za hatari na kutaka mpaka kumshika snura kwa balaa alilolifanya. show ilivyoisha alitumia lisali moja na nusu kutoka kaatika uwanja huo kila mtu alitamani kumshika kila mtu alitaka kupiga nae picha. angalia video hapo chini hali ilivyokuwa.

 ni shida kwa kweli huyu dada.