Blogger Widgets

November 3, 2013

Tazama Picha Mbalimbali Jinsi Songa,Fid Q,Damian,Chidi Benz na mwana Dada Rukki walivyopendezesha Show ya WAKAZI

Rapper Wakazi Jumamosi hii alifanya uzinduzi wa video yake mpya, Touch pande za Nyumbani Lounge na kusindikizwa na rappers/wanamuziki wengine wakiwemo Songa,Fid Q,Damian,Chidi Benz na mwana Dada Rukki. Pia kwenye uzinduzi huo trailer ya filamu ijayo iitwayo Going Bongo ilioneshwa. Tazama picha za mambo yalivyokuwa.
IMG_0690
Mwanadaada Rukki akitoa burudani

IMG_0697
IMG_0698
Dancer huyu alitia fora jana

IMG_0699
Fid Q na AY waliamua kwenda kutunza kidogo

IMG_0700
Watu waliouhudhuria wakifuatilia kwa makini

IMG_0712
Damian Soul akiimba kwa hisia

IMG_0719
Songa akitumbuiza

IMG_0724
IMG_0725
IMG_0726

Chid Benz alikuwepo naye kutoa support

IMG_0735
IMG_0736
IMG_0737
IMG_0740
IMG_0741
IMG_0743
IMG_0744
IMG_0746
AY akimtunza Chidi Benz

IMG_0748
Fid Q naye akifanya yake

IMG_0757
Fid Q na Chidi Benz kwa pamoja wakifanya yao

IMG_0759
Muigizaji wa filamu itakayotoka hivi karibuni, Going Bongo, Ernest Napoleon aka MC Napo akiongea machache kuhusu filamu hiyo

IMG_0764
IMG_0765
Wakazi akitumbuiza

IMG_0767
IMG_0771
IMG_0772
IMG_0773
IMG_0774
Wakazi alitoa zawadi kwa huyu dada kwa kucheza vizuri

IMG_0796
Zuhura na Rukki

From:Bongo5