Blogger Widgets

November 11, 2013

Tazama Picha za Jinsi Huyu Mwanamke Kwa Makalio Marekani na Kuandika Kitabu Atahri ya Kuwa kama Alivyo

Vanity kabla na baada ya kuongeza makalio
Ni mama wa watoto wa wili anekwenda kwa jina la Vanity Wonder na pia alikuwa video vixen katika baadhi ya video za wanamuziki maarafu wa nchini Marekani.  

Kutokana na ushindani uliokuwepo katika kazi yake, Vanity aliamua kuongeza makalio yake ili aweze kuvutia zaidi lakini haikuwa kama alivyo ategemea. Mambo yakaanza kuharibika. Anaelezea kwamba ilifika kipindi alikuwa kama amebeba mfuko wa machungwa huko kwenye makalio na ndipo ikamlazimu kuendelea kuchoma hizo sindano ili kurekebisha makalio yake ambayo pia yalikuwa yanavuja kutokana na hizo sindano. Vanity alitumia karibia dola za kimarekani15000 ilikurekebisha hiyo hali.

Vanity ameandika kitabu kinacho itwa "SHOT GIRLS" kinacho elezea kwa undani yaliyo mkuta na madhanra ya kuongeza makalio. 

Karibu uangalie mahojiano aliyo fanyiwa na kipindi cha 'This Morning' kinacho rusha na kituo cha ITV nchini Uingereza.


Majanga, maana siku hizi anasema anaona hata taku kutoka kwenda supermarket maana hakuna mtu asiyegeuka na kumuangalia. Je una maoni gani kuhusu haya maswala ya kuongeza makalio, hips na viungo vingine?