Blogger Widgets

November 6, 2013

Tazama Picha za kuvutia za kupatwa kwa Jua zilizopigwa Afrika, Ulaya na Marekani

Mamilioni ya Waafrika, Watu wa barani Ulaya na Marekani walishuhudia tukio la nadra la kupatwa kwa jua baada ya mwezi kuliziba jua wiki iliyopita.
ISRAEL SOLAR ECLIPSE
Picha hii ilipigwa Golan Heights, Kaskakazini mwa Israel

Tukio hilo lilianza kuonekana kwanza kwenye jimbo Florida, Marekani kabla ya kuendelea kwenye bahari ya Atlantic na kupita Ulaya, Afrika na Mashariki ya Kati. Ni Waaustralia pekee ndio walioshindwa kuliona.
Tazama baadhi ya picha za tukio hilo kutoka pande mbalimbali za dunia.
Solar Eclipse
Picha hii ilipigwa New York, Marekani

Spain Solar Eclipse
Hii ilipigwa kutoka Santa Cruz de Tenerife kwenye visiwa vya Canary Islands, Hispania

ISRAEL SOLAR ECLIPSE
Kupatwa kwa jua kunaonekana juu ya kanisa huko Jerusalem

KENYA-SCIENCE-SOLAR-ECLIPSE
Watu wa kabil la Rendile kwenye hifadhi ya taifa ya Sibiloi, Turkana wakishuhudia

Spain Solar Eclipse

Picha nyingine nzuri kutoka Santa Cruz de Tenerife

TOPSHOTS-US-SCIENCE-ECLIPSE