Blogger Widgets

December 27, 2013

Baada ya Huyu Mtoto Kuumia usoni Akitaka Kumuona Diamond kwemye show yake sasa Dimond aamua kumsaidia kama inavyoonekana kwenye Picha

 
Napenda nitoe pole za dhati kabisa kwa binti huyu
 mdogo,aliyepata majeraha usoni wakati akijaribu kupata nafasi ya
 kunishuhudia..yote ni kutokana na msongamano mkubwa wa watu uliokuwepo...