Blogger Widgets

December 30, 2013

EXCLUSIVE PICTURES:Tazama Picha za uzinduzi wa video 'Roho Yangu' ya Rich Mavoko,Maisha Club

 Msanii Rich Mavoko usiku wa kumkia leo alizindua rasmi video yake ya  wimbo wa 'Roho Yangu', katika ukumbi wa Maisha Club iliyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam,katika uzinduzi huo Rich Mavoko alisindikizwa na wasanii mbalimbali  wakiwemo Jux Vuitton,Barnaba,Dully Sykes,Shetta,Mr Blue na wengineo.
From:fetty