Blogger Widgets

December 12, 2013

EXCLUSIVE:Baada ya kusingiziwa kakamatwa na Madawa nchini Brazil, Aisha Bui aonekana Saluni ya Nisha sinza.TAZAMA PICHA


Baada ya kusingiziwa kakamatwa na Madawa nchini Brazil, Aisha Bui aonekana Saluni ya Nisha sinza 

Mwigizaji wa filamu za kibongo aliyesemekana kuwa amekatwa nchini brazil akiwa na madawa ya kulevya Aisha Bui ameonekana nchini hivi karibuni akiwa kwenye salooni ya mwanadada mwingine muigizaji Nisha iliyopo maeneo ya Sinza jijini Dar es Salaam.
Mwadada huyo ambaye tayari ameigiza filamu kadhaa na mastaa wenzake alionekana kwenye saloon ya Salma Jabu(Nisha)
akiwekwa sawa nywele zake kama anavyoonekana pichani.