Akiongea Tundaman alisema ataondoka nchini Januari 5, 2014 kwenda Nairobi kwa ajili ya utengenezaji wa Video hiyo na kwamba ameamua kufanya video hiyo akiwa na Masogange kwani ni msichana anayefanya vizuri katika video nyingi za wasanii pia ana kipaji cha kazi hiyo.
December 31, 2013
Habari Mpya Inayozungumziwa Mjini Kati ya Tundaman na Agness Masogange.TAZAMA PICHA
Akiongea Tundaman alisema ataondoka nchini Januari 5, 2014 kwenda Nairobi kwa ajili ya utengenezaji wa Video hiyo na kwamba ameamua kufanya video hiyo akiwa na Masogange kwani ni msichana anayefanya vizuri katika video nyingi za wasanii pia ana kipaji cha kazi hiyo.
No comments:
Post a Comment