Blogger Widgets

December 30, 2013

Happy Birthday My Cazin Cayth #AmaNini


 
Kwanza kabisa namshukuru mungu mpaka hapa nilipofikia ni kwa rehema zake yeye, pili mama angu kipenz amekuwa mchango mkubwa katika maisha yangu kanipigania in every step mpaka leo hii bado ananipigania luv u mumy, my dady R.I.P nina mengi ya kujivunia kwako ni mengi sana but still nakupenda, rafik zang ndugu na jamaa nawapenda sana n u mean a lot to me yan daah!! Inatosha