Blogger Widgets

December 18, 2013

Mrembo Kutoka Bongo Movie Aishukuru Zest Film Produaction Kwa Kumfikisha Level Za Kimataifa.MTAZAME na Alichokisema

https://fbcdn-sphotos-h-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/v/994087_682357191796990_1296595875_n.jpg?oh=1e925eb0cc0591c050b373f0fcc5f71c&oe=52B25FF9&__gda__=1387495256_da9caeaed3b8faea4d16984244bcca8d



Msanii 'wellu sengo' amefunguka kwa kusema nimefurahi kukutana na kampuni inayo angalia mbali sana kuhusu wasanii wa filamu tanzania
ZEST FILM PRODUCTION imeninyanyua kufikia levo za
juu sana namshukuru mungu na nawashukuru TEAM NZIMA YA ZEST

Nimeshiriki kwenye filamu ya VAGABOND kama support staring, Mpaka hapa nilipo nnaimani ntafika mbali kwa uwezo wa M/mwenyezi mungu na

mapokeo ya mashabiki wangu wa ndani na nje ya nchi wanaoniona na watakaoniona katika kazi nilizofanya na ntakazofanya ndani ya ZEST FILM PRODUCTION.