Blogger Widgets

December 30, 2013

Mtazame Kwa Mara ya Kwanza Hapa Mdada Anayesadikiwa Kuwa ni Mtu wa Rwanda Aliyekuwa Amesafiri na JackieClif Huko China na Kukimbia Baada ya Kukamatwa kwa Jackie

daaah Ms Jackie Cliff
sijui nani atawafundisha fashion sasa
its not easy lets pray for her
mzigo uliomponza
ndani ya ndala
jamani tafuteni hela zenu kidogo
kidogo endeleeni kutaka ku
maintain status bongo
yatawakuta  tu
Ze Chinese no kutakaring ze muchezo
Easy come, Easy Go
dada aliesafiri na Jackie
inasemekana ni raia kutoka Rwanda

our own Boss-Lady in Tanzania

No comments:

Post a Comment