Blogger Widgets

December 10, 2013

Sehemu Pekee Iliyotengwa South Afrika Kwa Ajiri ya Maziko ya The Late Mandela


Hili ni Banda linaloendelea kujengwa katika eneo la makazi ya Hayati Nelson Mandera kwa ajili ya maandalizi ya shughuli za maziko yanayotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo zaidi ya viongozi 70 wa mataifa makubwa, kutoka pande zote za dunia wanatarajia kuhudhuria maziko hayo