Blogger Widgets

December 10, 2013

Tazama Kwa Ukaribu Nyumba Anayoijenga Msanii Shilole

.

Shilole ambaye ni star wa filamu Swahiliwood na pia mwanamuziki anayefanya vizuri kwasasa katika muziki wa mduara ameonyesha mafanikio yake ya awali kupitia kazi zake kwa kujenga nyumba maeneo ya Kimara jijini Dar es salaam ambayo ipo katika hatua za mwisho kukanilika. Shilole amepost picha ya nyumba yake hiyo mpya kupitia mtandao mmoja wa kijamii na kuandika "Mungu nisaidie nimalize hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu"
Big up Shilole.........maisha ni nyumba na sio gari..!!


Nyumba yake ndiyo hii.....................