Blogger Widgets

December 27, 2013

Tazama Picha Jinsi Kanga Moja walivyomwaga Radhi ndani ya ukumbi wa E-Point uliopo ndani ndani ya jiji la Mbeya maeneo ya Sae stendi

Katika kusherehekea sikukuu ya Christmas, mambo yamekuwa ndivyo sivyo ndani ya jiji la Mbeya,hawa ni kanga moko wakifanya yao ndani ya ukumbi wa E-Point uliopo ndani ndani ya jiji la Mbeya maeneo ya Sae stendi,mimi sisemi mengi tazama jinsi ambavyio wanamwaga radhi.
Haya ndiyo mambo yenyewe karibu kwenye klabu ya maraha E-point Sae Mbeya ni kila Jumatano,Jumamosi na Jumapili.