Blogger Widgets

December 29, 2013

Tazama Picha Jinsi Msanii wa Bongo Movie Wastara Alivyokuwa na Team Yake Kwenye Dua Ya Kweli Kumuombea Marehemu Sajuki Makaburini

Msanii wa filamu Wastara leo ameungana na wadau mbalimbali wa filamu makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kusoma dua kwaajli ya marehemu mume wake, Juma Kilowoko aliyekuwa maarufu kwa jina Sajuki.
Mzee Chiro akiwa na Wastara.  
Mzee Chiro akiwa na Wastara
Hata hivyo Wastara alisema baada ya shughuli ya leo. dua rasmi ya marehemu Sajuki itafanyikia nyumbani kwao Songea, January 2, 2014.

Wasanii wa filamu na wadau mbalimbali walijumuhika.
 
Wasanii wa filamu na wadau mbalimbali walijumuika.
Wastara na Frora Mvungi
 
Wastara na Flora Mvungi
  Dua ikisomwa  
Dua ikisomwa
IMG-20131228-WA0068

IMG-20131228-WA0069

IMG-20131228-WA0077