Blogger Widgets

December 23, 2013

Tazama Picha Mbalimbali za Loveness Love Zilizomake HeadLine Akiwa Kifua wazi N!do zote Nje

diva4
Habari za weekend wadau, pamoja  na mipasho ya habari  mbalimbali  za kisiasa  na matukio ya hapa  na  pale, si mbaya pia  tukiangalia  na  upande  wa pili wa shilingi, nikiwa  na  maana  ya  udaku  na  burudani…. 

Inawezekana  ukawa  hupendi  udaku, lakini  naamini  kuna  wanaopenda, hivyo  si  vizuri  kuwakatili…
Hapo  chini  kuna  picha  kadhaa  za  muonekano  wa  mwanadada  Loveness Diva, mrembo   ambaye  amewahi   wafanya  akina  dada  wa Kenya    wamchukie  baada  ya  kumnasa  kimapenzi  msanii  maarufu  Nchini  Kenya  maarufu  ka  jina  la  Prezzo…

diva3

DIVA1 diva5DIVA