Blogger Widgets

December 26, 2013

Tazama Picha ya Makamuzi aliyoyafanya JOh makini Jana Ndani ya Dar Live

ILIKUWA si mchezo..!
 
Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi, Joh Makini, akiwapagawisha mashabiki wa Hip Hop waliofurika katika Uwanja wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala - Zakhem, jijini Dar usiku huu wa sikukuu ya Krismasi.

 

Mashabiki wa Joh Makini ndani ya Dar Live wakiwa wamepagawa na burudani.