Blogger Widgets

December 12, 2013

Tazama Picha za Matukio ya Birthday Celebration Yangu ilivyoanzia Chuo Baada ya Kumaliza Lecture Leo 12.12.2013

Hapa Ilikuwa Mida ya saa Nne Asubuh just wishing me kwa picha ya kwa pamoja.Haw ni washkaji zangu wa e ninaosoma nao St. College of Information Technolgy  wa mwaka wa Nne
 

                                        

                                          

                                        
One love kwa ma birthday girlwangu waliozaliwa siku ya leo as me
-Gladyness Dimpoz
-Jenifrida
-Halima Mkumbi