Blogger Widgets

December 26, 2013

Tazama Picha Zilizo Make HeadLine Mjini Pale Diamond Platnum Alivyotangaza Rasmi Wema Sepetu Kama Mchumba wake




 Hii ilikuwa jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo.
Kwenye hiyo show Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”?
Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa ukimwona akasema, “Naskia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.
Wema Sepetu akapanda kwenye stage wakaimba na kucheza wote


No comments:

Post a Comment