Blogger Widgets

December 10, 2013

Wastara Malilia Kwa Mara Nyingine Sajuki

Wastara ambaye ni star wa filamu nchini na aliyekuwa mke wa marehemu Juma Kilowoko(Sajuki) kupitia mtandao mmoja wa kijamii ameandika.........

 "Siku week mwezi hatimae mwaka unaingia tokea unikimbie mikononi mwangu,mwetu milele nitakukumbuka daima nahisi uko sehemu nzuri unanisubiri
Tarehe 2.1.2014 my blood anatimiza mwaka tokea atutoke katika dunia,nawaomba tuwe pamoja katika duwa itakayofanyika mkoani songea kokote ukipo inua mkono kumuombea juma kilowoko a.k.a sajuki mboni ya wastara"