Blogger Widgets

December 17, 2013

Weekend Hii Story za Mjini zilikuwa ni kuhusu XXL After Skul Bash-Sasa Tazama Picha 30 za Masta walivyokuwa wameshine Mbele ya Camera

Mambo yalikuwa si mambo ndani ya After School Bash baada ya madadaz na makakaz walipoamua kupendeza na kujitokeza pande za MbalaMwezi Desemba 14 Jumamosi iliyopita,huku burudani zikitolewa na wasanii mbalimbali.
Angalia picha hizi hapa uone kichojiri Desemba 14 Jumamosi iliyopita Mbala  Mwezi Beach