Blogger Widgets

January 26, 2014

Baada ya Habari Kuenea Kila Mahali Kuhusu Producer Aliyepata Ajari..Mtazame na Picha jinsi Ajari Ilivyotokea


Producer Dupy
Producer wa UPRISE MUSIC DUPY amegongwa na gari baada ya gari kugonga studio na kuingia CHUMBANI kwa DUPY akiwa amelala! Pia amepata majeraha kidogo tunashukuru mungu ni mzima ila amepata maumivu ya mkono na kichwa kidogo ila all in all niko salama.
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZIKIONYESHA HARI ILIVYO ENEO LA TUKIO




No comments:

Post a Comment