Blogger Widgets

January 9, 2014

Baadhi Ya Picha zikionesha Matukio ya Inri Cristo Mtu aliyejitokeza na Kusema yeye ndio yesu wa Brazil


I am Jesus: Inri Cristo speaks to his disciples from one of his mobile pulpits at his church compound outside the capital of Brasilia


Inri Cristo, 66,  akiongea na wanafunzi (wafuasi) wake nje ya kanisa lake liliopo Brasilia nchini Brazil.
They see me rollin', they hatin': When not giving sermons and tending to his flock at his Soust church, Inri Cristo likes to get around the grounds of his compound aboard his motor scooter
 Inri Cristo akiwa katika baiskeli yake nje ya eneo lake la kanisa
Son of god: Inri - which is a Latin acronym  that in English means 'Jesus of Nazareth, King of the Jews', believes that the location of his 'church' is the 'New Jerusalem'
Mwana wa mungu Inri - neno la kilatino ambalo maana yake ni 'Yesu wa Nazareti', 'Mfalme wa wayahudi' ana amini kwamba mahali kanisa lake lilipo ndo Yerusalemi Mpya'.
Faithful followers: A group of Inri Cristo's devoted disciples who live at the Soust compound gather to greet 'Jesus' in Brasilia, Brazil. Most of the disciples who live there have known Inri for over 20 years; the oldest now 86, and the youngest 24
 Hawa ni baadhi ya wanafuzi wa Inri Cristo ambao huishi hapo hapo kwenye eneo la kanisa. Wengi wa wawashiriki hao wamekuwa wakijulikana na Inri kwa zaidi ya miaka 20. 
Leader's greetings: Despite being the home of Jesus, and home of a religious organisation, Inri Christo still has a kennel of dogs to protect them
Pamoja na kwamba ni nyumba ya Yesu na makao makuu ya dehebu la Inri lakini bado hutumia mbwa kwa aajili ya kumlinda.
Uniform uniform: Inri Christo's female disciples wear simple blue gowns with the compound's logo on, tied with a rope, and knitted hats
Wafuasi wa Inri Christo ambao ni wanawake huvaa nguo za blue ambazo zina logo ya kanisa hilo, zenye kamba kiunoni na kofia za kufumwa.
His holy word: Cristo speaks to his followers every Saturday morning from his pulpit at the 'New Jerusalem' compound
 Inri Cristo huwahubiria waumini wake kila Jumamosi asubuhi kutoka mimbara yake kwenye mji wake 'Mpya wa Yerusalem'
Long career: Inri Cristo, who has been preaching as 'Jesus' since 1979, surrounded by followers circa 1982 at Belem cathedral in Lisbon, Portugal
Inri Cristo amekuwa akihubiri kama 'Yesu' tangia mwaka 1979. Pichani ni Inri akiwa amezungukwa na wafuasi wake mwaka 1982 huko Belem Cathedral, Lisbon nchini Portugal. 
On display: Artifacts from the life of Inri Cristo are kept in glass cabinets at his chapel at the Soust compound near Brasilia
Vitu vya Inri hufungiwa kwenye kabati la kioo kwenye kanisa lake huuko Brasilia. 
He's alive! Inri Cristo in a photo of himself wearing his own version of the Shroud of Turin, circa 1993, set to prove that he is the resurrection of Jesus Christ himself
 Inri Cristo akiwa kwenye picha mwaka 1993 huku amevalia taji la miba akitaka kuwahakikisha watu kwamba yeye ndo Yesu Kristo aliyefufuka. 
Uncomfortable truths? Inri Christo's controversial views on everything from Christmas to capitalism has seen him arrested 40 times, and expelled from several countries
Mahubiri ya Inri yamekuwa na utata mkubwa na kumuona akiingia katika matatizo na sheria hadi kutiwa ndani zaidi ya mara 40 huku nchi zingine zikimwekea pingamizi kuingia katika nchi zao.
Preacher and leader: Inri Christo's loyal followers push his pulpit out into the garden in order to listen to his words as 'Jesus'
Wanafuzi wa Inri ambao ni wanawake wakimsukuma mimbara yake kuelekea kwenye bustani ili wakasikilize mahubiri yake. 
Biker Jesus: Inri Christo takes his scooter for a spin around his vast compound where he lives with his followers, preaching 'the word of Jesus'
Kweli duniani kuna vituko vingi sana na huyu Mungu anatafutwa kwa njia zote. Lakini ndugu zangu tukumbukeni maneno kutoka kwenye kitabu kitakatifu 'BIBILIA' Matthew 7:15-23 ya kwamba siku za mwisho kutakuwa na manabii wengi wauongo.

"Jihadharini na manabii wa uongo. Wao huja kwenu wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali. Mtawatambua kwa matendo yao. Je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? La! Basi, mti mwema huzaa matunda mema, na mti mbaya huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mema. Kila mti usiozaa matunda mema utakatwa na kutupwa motoni. Kwa hiyo, mtawatambua kwa matendo yao. 

"Si kila aniambiaye, `Bwana, Bwana,` ataingia katika Ufalme wa mbinguni; ila ni yule tu anayetimiza mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. Wengi wataniambia Siku ile ya hukumu: `Bwana, Bwana! kwa jina lako tulitangaza ujumbe wako, na kwa jina lako tuliwatoa pepo na kufanya miujiza mingi.`
Hapo nitawaambia: `Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu."