Blogger Widgets

January 29, 2014

BREAKING NEWSSSS:Tazama Picha Jinsi Jengo Lefu karibu na Supermarket ya Shoprite KariakooLinavyowaka Moto Muda Huu


Live muda huu, Kuna jengo kubwa linaungua sasa hivi Eneo la Kamata.. hii ni moja ya picha inayoonesha moto huo na imepigwa muda huu.
Endelea kufuatilia hapa kwa Taarifa zaidi

Picha na Dar es salaam yetu Blog