Blogger Widgets

January 11, 2014

Haina Ubishi: Huyu Ndio The Real Boss Lady Kwa Africa Mashariki


 Zari ni mrembo mwenye makazi yake Africa Mashariki katika nchi ya Uganda, Ni mrembo haswa mwenye umate mate wakutosha wa kumwezesha kumiliki Usingizi mzuri magari ya kifahari yani full kipupwe. Maisha ya raha kwake ni sawa na doze anaweza kufanya chochote kwani umate mate unaongea. Lakini je umate mate huu umetokana na nini mimi na labda na wewe tutabaki kujiuliza bila majibu lakini mwenyewe anajua . 
Zari akiwa kajipumzisha nyumbani kwake, Jitiririshe chini
Huu ndiyo usingizi wake full kipupwe 
Unaweza kuona na kutambua kuwa kizuri kula na ndugu zako 
Usafiri wa kwendea sokoni ni habari ya mjini
Usafiri wa kwendae duka
Huu ni usafiri wa kwendea kwenye shughuri za kioffice 
Zari akiwa ndani ya duka lake la vito vya thamani
Habari ndiyo hii najua ungetamani kuweka kioo chuni kwa wale wa tuliosoma shule zetu za uswahili kama mimi jibu mnalo..tee tee tee tee...!!
Usafiri huu ni mambo ya mitoko ya usiku kwenye viota vya maraha ndani ya jiji la Kampala
Uwani kwake magari ya wageni wakitaka kuzunguka mjini
Usafiri wa kumpeleka mtoto shule na kumrudisha