Blogger Widgets

January 4, 2014

Maajabu:Msanii wa Kike Maheeda Abaki Mtupu Kwenye Utengenezaji wa Video Yao:Msanii maheeda ameonekana akishoot video ya wimbo wake mpya ambao kuna baadhi ya scene zinamwonesha akiwa uchi.. Msanii huyo wa Nigeria anashoot video ya wimbo wake unaoenda kwa jina la Niger bad gal..tazama picha za utengenezaji wa video hapa chini…