Blogger Widgets

January 6, 2014

Mchumba wa Msanii DBanj wa Nigeria Aingia kwenye Gumzo Baada ya Kuachia Picha yake akiwa Mtupu


Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Dapo Daniel Oyebanjo maarufu kama D'banj ambaye siku za hivi ameingia mkataba mnono na kampuni ya Sony Entertainment Africa ametengena na Mchuchu wake wa muda mrefu kidogo Jennifer Obayuwana na kuanzisha mahusiano mapya na mrembo mpya Yaris Sanchez ambaye akatupia picha za Mitego huko Twitter.

Angalia picha nyingine hapo chini, ni Bonge La Toto!!!!