Blogger Widgets

January 6, 2014

Mtazame Hapa Mwenyekiti Mpya wa BongoMovie Unity

Kundi la Bongo Movie Unity juzi limemchagua Steve Nyerere kuwa mwenyekiti mpya wa uongozi wa club hiyo hapa nchini.
Steve Nyerere
Uchaguzi huo ulifanyika juzi Leaders Club jijini Dar es salam na kuhudhuriwa na wanachama wa Bongo movie unity baada ya uongozi uliokuwepo madarakani kumaliza muda wake.


Katika uchaguzi huo,nafasi ya Makamu mwenyekiti ilienda kwa Mahsein Awadh maarufu ‘Dr cheni’,Katibu mkuu William Mtitu ,Katibu mkuu msaidizi Devotha Mbaga ,Mtunza Hazina Issa Musa ‘Cloud’ na Msaidizi wake ni Cathy Rupia.