Blogger Widgets

January 23, 2014

Picha za Msanii Kajala zilizozua Utata akiwa ana** on Swimming Pool

http://distilleryimage11.ak.instagram.com/d978a6a07c7311e3864a1248f379be2f_8.jpg
Picha ya nusu utupu ya Msanii Kajala Masanja aliyoiweka hivi karibuni katika mitandao ya kijamii yazua utata na maneno mengi yakiibuka juu yake, akiongea na Swahilitz mmoja wa mashabiki wa Kajala alifunguka na kusema "Kusema ukweli Kajala kajishushia heshima, ndiyo picha gani
aliyoweka mtandaoni, mimi kiukweli nampenda sana ila kwa hilo kaniboa" alimaliza kwakusema shabiki huyo.
Picha ya nusu utupu ya Kajala iliyozua gumzo
 Hata hivyo katika kufatilia suala hilo Swahilitz ilipiga story na shabiki mwingine ambaye naye alisema "Kajala sijui anatafuta soko la wanaume?? hii siyo picha kabisa ya kuweka mtandaoni jamani" alifunguka shabiki huyo.
Juhudi zetu za kumtafuta Kajala afunguke juu ya hili suala zinaendelea na pindi zikikamilia tutawafahamisha kasemaje.